Our Experience

Experience

Adelicious Ngowi
Tanzania

Being a member of IMCI+ has really upgraded my professionalism, the management of IMCI+ is very professional, transparent, simple, and welcoming with great vision.

The smooth information flow and the team spirit that has been built in the organization are awesome, this makes everyone who wants to grow professionally to want to be part of this organization.

I have worked with different organizations with different leadership styles, but with IMCI+ leadership style makes me feel more connected and aware of what is going on in the organization. It's easy to see what needs to be done with deadlines and who is responsible for the task, this working environment makes me so satisfied and proud to be part of IMCI+.

SWAHILI

Kuwa mwanachama wa IMCI+ kumeboresha taaluma yangu, uongozi wa IMCI+ ni wa kitaalamu sana, uwazi, rahisi, na unavutia na  una maono mazuri.

Mtiririko mzuri wa habari na ari ya timu ambayo imejengwa katika shirika ni ya kushangaza, hii inafanya kila mtu anayetaka kukua kitaaluma kutamani kuwa sehemu ya shirika hili.

Nimefanya kazi na mashirika tofauti yenye mitindo tofauti ya uongozi, Lakini kwa mtindo wa uongozi wa IMCI+, umenifanya  nihisi kuwa mimi ni miongoni mwa hili shirika, kwa vile  nafahamu kile kinachoendelea katika shirika. Ni rahisi kuona ni nini kinafaa kufanywa kwa muda gani na ni nani anayewajibika kwa kazi hiyo, mazingira haya ya kazi yananifanya niridhike na kujivunia kuwa sehemu ya IMCI+.

IMCI+ Group members list